PICHA: MTANZANIA MWENYE UMRI MDOGO AHITIMU PHD YA UCHUMI NCHINI SWEDEN

SHARE:

Mtanzania Martin Chegere (30) ameweka rekodi ya kuwa mmoja ya Watanzania wenye umri mdogo zaidi kuhitimu Shahada ya Uzamivu (Ph.D) katika...

Mtanzania Martin Chegere (30) ameweka rekodi ya kuwa mmoja ya Watanzania wenye umri mdogo zaidi kuhitimu Shahada ya Uzamivu (Ph.D) katika Uchumi.  Martin alipitishwa jana na Chuo Kikuu cha Gothenburg nchini Sweden.
Mafanikio ya Martin katika kufikia kiwango hicho cha elimu kwa umri humo mdogo umepongezwa na wengi kutokana na ukweli kwamba ni kazi ngumu kwa nchi za kiafrika kufikia kiwango hicho katika umri mdogo namna hiyo kutokana na mfumo wa elimu na maisha kwa ujumla.
Martin Chegere ambaye sasa anafundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Idara ya Uchumi, alisoma Shahada Uzamivu (PhD) katika vyuo viwili vya UDSM Tanzania na kile cha Gothenburg nchini Sweden.
Chegere amekuwa na historia nzuri katika maisha yake ya kitaaluma ambapo matokeo ya kidato cha nne mwaka 2004 aliibuka na kushika namba moja kwa ufaulu nchini (Tanzania One). Elimu yake ya sekondari alisoma Maua Seminary mwaka 2001 hadi 2004 mkoani Kilimanjaro.
Aliendelea na elimu ya kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Pugu kati ya mwaka 2005 hadi 2007 ambapo alipohitimu mwaka 2007 alishika nafasi ya kwanza kwa ufaulu (Tanzania One) katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita.
Baada ya kuhitimu elimu ya sekondari alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo alisoma Shahada ya Awali (Bachelor Degree) katika Uchumi kuanzi mwaka 2007 na kuhitimu 2010. Baada ya hapo aliendelea na masomo katika Shahada ya Umahiri (Masters Degree) ambapo alihitimu mwaka 2012 katika Uchumi.
Licha ya kuwa amejikita zaidi katika masuala ya uchumi, lakini ni mbobezi pia kwenye Economics of climate change, Adaptation and mitigation na Risk, shocks and poverty issues
Martin Shegere alizaliwa Oktoba mwaka 1986 lakini pia, ameoa mke mmoja na ana mtoto mmoja.
Hapa chini ni Thesis yake ya Shahada ya Uzamivu;

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PICHA: MTANZANIA MWENYE UMRI MDOGO AHITIMU PHD YA UCHUMI NCHINI SWEDEN
PICHA: MTANZANIA MWENYE UMRI MDOGO AHITIMU PHD YA UCHUMI NCHINI SWEDEN
https://1.bp.blogspot.com/-BVPrIEcnmCE/WSU7pwsnyMI/AAAAAAAAbyw/yTbvb2JhlT8Ea2cnNuMh_iqPgeoPnaBvQCLcB/s1600/x1-15-720x375.jpg.pagespeed.ic.jXIxZ9ZRqe.webp
https://1.bp.blogspot.com/-BVPrIEcnmCE/WSU7pwsnyMI/AAAAAAAAbyw/yTbvb2JhlT8Ea2cnNuMh_iqPgeoPnaBvQCLcB/s72-c/x1-15-720x375.jpg.pagespeed.ic.jXIxZ9ZRqe.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/picha-mtanzania-mwenye-umri-mdogo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/picha-mtanzania-mwenye-umri-mdogo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy