PICHA: RAIS DKT MAGUFULI ALIPOFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA TBC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison George Mwakyembe alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji TBC Mikocheni Dar es salaam na kuongea na wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Mkurugezi Mkuu wa Shirika la Habari na Utangazaji Ayob Rioba alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji TBC Mikocheni Dar es salaam na kuongea na wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akioneshwa sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa katika moja ya  studio za Televisheni za  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na mtangazaji Bi. Asha Haji alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na watumishi Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi
Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) wakimsikiliza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli wakati alipotembelea Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kuangalia uendeshaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisikiliza kero mbalimbali za wafanyakazi wa  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli katika picha ya pamoja na watumishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akitembezwa maeneo mbalimbali ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post