PICHA: RAIS MAGUFULI AONGOZA MAMIA KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI- MEI MOSI

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiq Meck Sadiq akimpokea Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehe zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro
Picha juu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo uliokuwa ukiimbwa na msanii Mrisho Mpoto katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehe zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wa serikali wakishuhudia maandamano yaliyofanywa na vikundi mbalimbali vya wafanyakazi katika maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehe zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Vikundi mbalimbali vya wafanyakazi vikifanya maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wa serikali katika maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehe zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post