PICHA: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIKAGUA KIWANDA CHA SUKARI TPC, MOSHI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , akipata maelezo Kutuko kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Sukari cha (TPC) Bwana Robert Baissac, kuhusu mbegu za kisasa za Miwa zinazo zalishwa kitika Shamba Darasa la Kiwanda cha Sukari cha TPC Kilichopo Mkoani Kilimanjaro Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni. PICHA NA PMO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo Kutoka kwa, Afisa Utawala wa TPC aliye shika kofia Bwana Jafari Ally kuhusiana na Shughuli zinazo endelea katika kiwanda cha Kutengeneza Sukari cha TPC , Kushoto kwa Waziri Mkuu aliye vaa shasti jeupe ni Meneja wa kiwanda Bwana Pascal Petiot, , Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni. PICHA NA PMO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha Sukari (TPC) Bwana Pascal Petiot kuhusiana na Mitambo Mipya ya Kompyuta ambazo zimefungwa ili kuongeza Ufanisi Katika Kiwanda cha TPC Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia Mitambo mipya inayo fungwa katika Kiwanda cha kutengeneza Sukari cha TPC, Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni. PICHA NA PMO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na kiongozi wa Chama cha Wafanyakzi wa kiwanda cha Sukari TPC (TASIWU) Bwana Bilali Omari ,waliopo katikati aliyeva Tisheti ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPC Bwana Robert Baissac na Meneja wa Kiwanda hicho Bwana Pascal Petiot, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni. PICHA NA PMO
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post