POLISI INDIA WADAI PANYA WAMEKUYWA POMBE ILIYOKAMATWA

Polisi mashariki mwa India katika jimbo la Bihar wamesema panya wamekunywa maelfu ya lita za pombe iliyokuwa imekamatwa.

Jimbo la Bihar lilipiga marufuku uuzaji na unywaji wa pombe mwaka jana na tangu wakati huo polisi wamekamata lita 900,000 za pombe.


Kamanda wa Polisi wa Mji wa Patna, Manu Maharaj, amesema ameambiwa wakaguzi wa polisi kuwa kiasi kikubwa cha pombe iliyokamatwa kimepotea kutokana na panya.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post