RAIS DK.SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA KATIKA ZIARA YAKE NCHINI DJIBOUT

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) alipokuwa akisalimiana na viongozi mbali mbali na Wazee wa Chama cha Mapinduzi  katika mapokezi yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]10 /05/2017.
ana2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali katika ukumbi wa VIP katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh,[Picha na Ikulu.]10 /05/2017. 
ana3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali katika ukumbi wa VIP katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh,(kulia) Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Balozi Ali Abeid Karume, [Picha na Ikulu.]10 /05/2017. 
ana4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi mbali mbali  wakati wa mapokezi yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]10 /05/2017.
ana5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wazee wa Chama cha Mapinduzi  wakati  wa mapokezi yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]10 /05/2017.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post