RAIS DONALD TRUMP NA VLADIMIR PUTIN KUSHINIKIZA SYRIA KUSITISHA MAPIGANO

Rais Donald Trump wa Marekani na mwenzake Vladimir Putin wa Urusi wamekubaliana kushinikiza usitishwaji wa mapigano nchini Syria.

Marais hao wameongea kwa njia ya simu kwa mara ya kwanza tangu Marekani kufanya mashambulizi Syria karibu mwezi mmoja uliopita hali iliyotishia uhusiano wao.


Taarifa za Ikulu ya Marekani na Kremlin zimeelezea kuwa mazungumzo hayo yamekuwa yenye manufaa.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post