RAIS JACOB ZUMA WA AFRIKA KUSINI KUWASILI KESHO NCHINI TANZANIA

SHARE:

Amani, Upendo, Umoja, Mshikamano, Bidii na Juhudi za Rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli vyote kwa pamoja vimekuwa nguzo na chachu ya kuwa...

Amani, Upendo, Umoja, Mshikamano, Bidii na Juhudi za Rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli vyote kwa pamoja vimekuwa nguzo na chachu ya kuwaleta wawekezaji kutoka nje ya nchi na viongozi mbalimbali kuwa na shauku ya kufika Tanzania.
Nchi ya Tanzania imepata heshima ya kupokea ugeni wa Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mh. Rais Jacob Zuma ambaye leo tarehe 10/05/2017 saa 3 usiku akiwa na ujumbe wa watu 120 atawasili nchini kwa ziara ya siku mbili na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli.
Ugeni huo utatanguliwa na ujumbe wa Mawaziri wasiopungua sita. Ambao wataungana na Mawaziri wetu katika kujadiliana namna gani ya kutumia fursa ili kujenga uchumi wetu na uchumi wa Afrika Kusini.
Mgeni wetu atapokelewa Ikulu siku ya Alhamisi ya tarehe 11/05/2017 saa 3:00 asubuhi ambapo atapigiwa mizinga 21 kama heshima ya mapokezi yake.  Napenda kuwapa tahadhari wakazi wote wa maeneo ya jirani na Ikulu kuwa kutokana na tukio hilo kwa muda huo wanashauriwa kuwa katika hali ya tahadhari hasa kwa walio na magonjwa ya mshtuko.
Katika ziara hiyo marais hawa wawili pamoja na mambo mengine watasaini Hati mbalimbali za makubaliano ikiwemo za ushirikiano katika sekta ya maji baina ya nchi mbili hizi, ushirikiano katika sekta ya uchukuzi na katika masuala ya Rasilimali ya Wanyama na Misitu.
Kama ilivyo kawaida yetu kwa Amani, Upendo, Furaha na Ukarimu tuliokuwa nao katika kuwapokea wageni wetu tuungane na Rais wetu siku ya Jumatano katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere International Airport – Terminal 1 kuwapokea wageni wetu.
Mgeni wetu anatarajiwa kuondoka hapa nchini siku ya Alhamisi ya tarehe 11/05/2017 saa 3 usiku.
Asanteni sana.
Paul C. Makonda.
    MKUU WA MKOA
    DAR ES SALAAM
       9/05/201

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RAIS JACOB ZUMA WA AFRIKA KUSINI KUWASILI KESHO NCHINI TANZANIA
RAIS JACOB ZUMA WA AFRIKA KUSINI KUWASILI KESHO NCHINI TANZANIA
https://4.bp.blogspot.com/-Fbs42P4IF68/WRJBswdCwCI/AAAAAAAAa9Y/oD1NsvKRlJIebLc3GywI2C0oK-D4OwlQACLcB/s1600/w2.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-Fbs42P4IF68/WRJBswdCwCI/AAAAAAAAa9Y/oD1NsvKRlJIebLc3GywI2C0oK-D4OwlQACLcB/s72-c/w2.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/rais-jacob-zuma-wa-afrika-kusini.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/rais-jacob-zuma-wa-afrika-kusini.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy