RC WA ARUSHA AONGOZA WANANCHI KUWAAGA WANAFUNZI KWENDA MAREKANI KWA MATIBABU

Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo na mmoja wa marubani wa shirika la Samaritan’s Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea
Marekani kwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea wilayani Karatu wiki iliyopita.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akifurahia jambo na mmoja wa marubani wa kampuni ya Samaritan’s Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea Marekani kwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea wilayani Karatu wiki iliyopita.Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akimsalimia Doreen Elibarick kabla ya kupanda ndege kwenda Marekani kwa matibabu.Utaratibu wa kuwaingiza kwenye gari kisha kwenye ndege ukiendelea na maafisa wa uwanja wa ndege wa KIA.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akifurahia Kadi zilizoandaliwa na wanafunzi wa shule ya ISM kwaajili ya wanafunzi wenzao. Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com   
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu na Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo wamjulia hali Doreen Elibarick
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post