SENETA LARISSA WATERS AWA MWANAMKE WA KWANZA KUNYONYESHA BUNGENI

Seneta mwanamke wa Australia Bi. Larissa Waters ameweka historia kwa kuwa mwanasiasa wa kwanza kumnyonyesha mtoto wake ndani ya bunge la taifa la nchi hiyo.

Bi. Waters kutoka chama cha mrengo wa kushoto cha Greens alimnyonyesha bungeni mtoto wake wa kike wa miezi miwili aitwae Alia Joy wakati wa upigaji kura siku ya jana.


Bunge la nchi hiyo liliungana na Seneti mwaka jana kuruhusu wabunge na wawakilishi wanawake kunyonyesha lakini kulikuwa hakuna mbunge hata mmoja aliyewahi kufanya hivyo.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post