SERIKALI KUBORESHA KIWANGO CHA VYOO BORA KUFIKIA 2025.

Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza mbele ya wabunge na wadau mbalimbali wa afya na mazingira hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampeni ya yautunzaji wa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI”iliyofanyika Jana mjini Dodoma.
A
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kulia akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa kampeni ya yautunzaji wa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI”uliofanyika mjini Jana mjini Dodoma.
A 1
Waziri wa Afya, maendeleo yaJamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati akiwa amebeba nembo inayoashiria uzinduzi wa kampeni ya kutunza mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” uliofanyika mjini Dodoma , wengine ni wadau mbalimbali wa mazingira pamoja na baadhi ya wabunge.
A 2
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kushoto akiteta jambo na Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw. Suleiman Jaffo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya yautunzajiwa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” uliofanyika mjini Jana mjini Dodoma.
Pichana Ally Daud-WAMJW DODOMA
…………………………..
Na Ally Daud-WAMJW DODOMA
SERIKALIiimedhamiriakuboreshakiwango cha vyoo bora  mjininavijijinikutokaasilimia 35 hadiasilimia 55 kufikiamwaka 2025 ilikujengataifalenyeafya bora nalisilonamaambukiziyamagonjwayatokanayonauchafuwavyoo.
Akizungumzahayokwenyeuzinduziwakampeniyautunzajiwamazingiraijulikanayokama “NIPO TAYARI” WaziriwaAfya,MaendeleoyaJamii, Jinsia ,WazeenaWatotoUmmyMwalimuamesemakuwaSerikaliimepaniakufikishaasilimiayauborawavyoompakakufikia 2030.
“Hatuahiiitafikiwaendapokwapamojatutasukumambeleajendayausafiwamazingirakwakushirikiananawadaumbalimbalihasakatikaujenziwavyoobora,utupajisalamawa taka ngumu,upatikanajiwamajisalamakwamikonomiwili” alisemaWaziriUmmy.
AidhaWaziriUmmyamesemakuwayapomafanikioyaliyofikiwakatikakupunguzakasiyawatukujisaidiaovyotabiaambayonikisababishi cha maambukiziyamagonjwamengikatikajamii.
MbalinahayoWaziriUmmyalitoaraikwawanasiasawenginekushirikiananawananchikatikamajimboyaoilikusukumakwavitendoajendayaUsafiwaMazingiranchini .
Kwaupande wake NaibuwaziriOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaBw. Suleiman Jaffoamesemakuwawatanzaniawawamijininavijijiniwawemstariwambelekatikakuhakikishawanatumiavyoo bora kila kaya ilikuepukamagonjwayakuambukiza.
NayeNaibuWaziriwamajinaumwagiliajiMhandisiIsackKamwelweamesemakuwailikuendananakasihiyowamejipangakuhakikishashulezotezamsinginasekondarinchinizinapatamajisafinasalamakwawakatisahihi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post