SHILOLE AANZA KUISAKA COLABO YA NICK MINAJ

Staa wa Bongo Fleva Shilole ambaye kwa sasa anatamba kwenye radio na Tv  na rekodi yake ya #HatutoiKiki Remix amesema baada ya kumkosa Jennifer Lopez kwenye colabo, sasa anamtafuta Nicki Minaj afanye nae wimbo…
Shilole anasema Nilishindwa kurudi tena Marekani kutokana na mambo niliokuwa nayo ikiwemo ya kifamilia na pia Jlo nae alikwa busy busy na nyimbo yake ya “Ain’t your mama” nikaona basi tusisumbuane sana mwache aendelee na mambo yake, ila nitamfuta Nick Minaj
MATEGEMEO YAKO NI NINI KUHUSU HII COLABO….
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post