SHILOLE ATAJA MSANII ANAYE MKUBALI ZAIDI KATI YA ALIKIBA NA DIAMOND

Bongo Fleva Diva Zuwena Muhamed Aka Shilole  amesema yeye hamkubali msanii Alikiba na hana sababu ya kutomkubali na ila yeye anamkubali zaidi Diamond Platnumz
Kupitia #KikaangoniEATV Jumatano hii Shilole anasema “Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba, nampenda Diamond kutoka na mambo yake na vile alivyo, kwa hiyo kila mtu ana watu anaowakubali na kuwapenda
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post