SHILOLE : MIMI KINGEREZA NAKIJUA VIZURI ILA........

Shilole amekuwa msanii anayeleta vituko zaidi mitandaoni pale anapotuia lugha ya Kingereza kuongelea jambo flani kutokana na kukosea kwake.
Staa huyu wa bongo fleva kwenye #KikaangoniEATV amesema muda mwingine anakosea kweli na uda mwingine anafanya sababu ya KIKI…
Shilole anasema “Kwa taarifa yenu mimi nakijua kingeereza vizuri tu, kukosea kupo na vingine ni kiki tu“…
Hatutoi KIKIIIIII
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post