SHILOLE : NITAPAFANYA IGUNGA KUWA KAMA ULAYA

Diva wa Bongo Fleva Shilole kwenye #KikaangoniEATV amesema tayari ameanza kuwa balozi mzuri wa #Igunga mkoani Tabora.
Shilole anasema “Nitapafanya Igunga kuwa kama ulaya na sasa hivi nipo kwenye harakati hizo. Mpaka sasa nimeshafungua njia kwa wasanii wenzangu wanapiga hata Show mkoani kwetu na wanajaza kitu ambacho zamani hakikuwa hivyo.
Shilole yupo kwenye ziara ya vyombo vya habari akitangaza video yake mpya #HatutoiKiki Remix.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post