SIMBA HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE VPL

ACHANA na matokeo ya mechi yao ya jana Jumapili, Beki wa zamani wa Simba, Frank Kasanga 'Bwalya'  amelionya benchi la ufundi la timu hiyo kuwa liwaandae vijana wao ili kumaliza pazuri katika michuano ya msimu huu

Bwalya alisema Simba isitishwe na matokeo iliyoapata Yanga juzia dhidi ya Prisons na badala yake ikomalie mechi zake zilizosalia.
Aliichanganua kauli yake kwamba kazi ya Simba ni kuhakikisha wanafunga mabao mengi katika mechi zilizosalia bila kujali kelele za wapinzani wao ambao wana mabao mengi na wamebakiza mechi nne.

"Ninapozungumzia watu maalum, mfano wamjenge kiakili Ibrahim Ajib, Laudit Mavugo, Shiza Kichuya ili wasitoke bure uwanjani na viungo Mzamiru Yasin, Jonas Mkude, Said Ndemla au Ibrahim Mohamed kazi yao wawalishe mipira waliyokaa mbele na wazuie mipira isifike kwenye lango lao vivyo hivyo kwa mabeki watulie na kuwa na maamuzi sahihi," alisema Bwalya.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post