SIRI YA RAIS MAGUFULI KUTENGUA UTEUZI WA IGP ERNEST MANGU

SHARE:

Ikiwa bado wananchi wanaendelea kuumiza kichwa kufahamu aliyeko nyuma ya matukio ya mauaji yanayoendelea mkoani Pwani, Rais Magufuli na A...

Ikiwa bado wananchi wanaendelea kuumiza kichwa kufahamu aliyeko nyuma ya matukio ya mauaji yanayoendelea mkoani Pwani, Rais Magufuli na Amiri Jeshi Mkuu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, jeshi ambalo ndilo lenye dhamana ya kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.
Uamuzi huu wa Rais Magufuli umekuja ikiwa tayari watu zaidi ya 30 wameuawa katika Wilaya za Kilwa, Rufiji, Kibiti na Mkuranga ambapo miongoni mwa waliouawa wamo pia Askari Polisi wanane.
Rais Magufuli ametengeua uteuzi wa IGP Ernest Mangu na kumteua Simon Sirro kushika nafasi hiyo.
Licha ya kuwa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu haikueleza sababu ya mabadiliko hayo, lakini inaaminika kuwa utenguzi huo umetokana na mfululizo wa matukio ya mauaji katika wilaya hizo yaliyohusisha wananchi, viongozi wa serikali na Askari Polisi wa Tanzania na hadi sasa wahusika hawajakamatwa.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro kuwa  IGP akichukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Aidha, wengine wamedai kuwa uamuzi huo pia huenda umechangiwa na kauli ya Mangu aliyoitoa siku za karibuni kuwa, vitendo vya Polisi kuwakamata waandishi wa habari wakiwa kazini, si msimamo wa Jeshi hilo.
Ernest Mangu aliteuliwa kuwa IGP na Rais mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete mwaka 2013 akichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Saidi Mwema ambaye alistaafu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SIRI YA RAIS MAGUFULI KUTENGUA UTEUZI WA IGP ERNEST MANGU
SIRI YA RAIS MAGUFULI KUTENGUA UTEUZI WA IGP ERNEST MANGU
https://1.bp.blogspot.com/-U0AOS4n41V4/WSvV-Ld15jI/AAAAAAAAb_Q/23-R6SNaSWMHo5y-P5x7rYJeSHCojrjZgCLcB/s1600/x85-750x375.jpg.pagespeed.ic.7nkbBdg3N5.webp
https://1.bp.blogspot.com/-U0AOS4n41V4/WSvV-Ld15jI/AAAAAAAAb_Q/23-R6SNaSWMHo5y-P5x7rYJeSHCojrjZgCLcB/s72-c/x85-750x375.jpg.pagespeed.ic.7nkbBdg3N5.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/siri-ya-rais-magufuli-kutengua-uteuzi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/siri-ya-rais-magufuli-kutengua-uteuzi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy