SMARTPHONE KUTIBU KISUKARI

Wanasayansi wamefanya uchunguzi na kugundua kwamba matumizi ya simu za mkononi za kisasa ‘smartphone’ yanasaidia kukabili matatizo ya kisukari.
Majaribio yaliyofanyika kupitia panya yamegundua kwaba mionzi inayopatikana kwenye simu hiyo inawezesha kudhibiti kiwango cha sukari mwilini mwa binadamu.
Watafiti wa nchini china wanasema kuwa ni hali inayoonyesha mafanikio makubwa katika utekelezaji wake.
Namna inavyotelekezwa ni kwamba, mgonjwa anaanza kwa kupimwa kiwango chake cha sukari mwilini kabla ya hatua nyingine ya kumvalisha kifaa.
Wanasema mgonjwa anavalishwa kifaa maalum sambamba na ‘smartphone’ kinachotoa mionzi kama ya simu na kusababisha chembe hai mwilini kudhibiti ongezeko la sukari mwilini.
Inaelezwa tiba hiyo ya kuibadilisha chembe hai mwilini, ikawa na uwezo wa kusaidia kutibu maradhi mengine mengi.
Profesa Mark Gomelsky mtaalamu kutoka Chuo Kikuu cha Wyoming, China anasema katika kipindi kijacho, tutawaona watu wanavaa fasheni fulani mwilini kumbe ni tiba.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post