SPIKA NDUGAI AELEZA SABABU ZA KUTAKA KUWAFUKUZA WAFANYAKAZI WANNE WA BUNGE

SHARE:

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ametishia kuwafukuza kazi watumishi wa Bunge wanaofanya kazi kwenye ofisi za Kambi Rasmi ya Upinzani ikiwa wa...

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ametishia kuwafukuza kazi watumishi wa Bunge wanaofanya kazi kwenye ofisi za Kambi Rasmi ya Upinzani ikiwa wataendelea kuandika hotuba alizoziita zenye maneno machafu dhidi ya uongozi wa Bunge.
Aliyasema hayo bungeni jana wabunge walipoazimia kuwasamehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (Chadema) waliokutwa na hatia ya kukidharau chombo hicho cha kutunga sheria.
Ndugai mbali na kuipongeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kazi nzuri ya kuwahoji viongozi hao waliolalamikiwa, alisema amebaini kuna’mchezo mchafu’ dhidi ya uongozi wa bunge unaofanywa na wanaoandika hotuba za upinzani.
Alisema hotuba kadhaa za upinzani zimekuwa na maneno yanayoashiria kudharau Bunge, hasa kiti cha Spika.
“Nimefanya utafiti wangu, kwa mfano, siku moja alisoma hotuba ruth Mollel (Waziri Kivuli, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), namfahamu, yale maneno yaliyokuwa yameandikwa kule najua kabisa Ruth hawezi kuyaandika, nilimwambia siku ile” Ndugai alisema.
Kwa hiyo nikafanya utafiti wangu katika ofisi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni, kuna vijana wanne; Onesful mbuya, Olivia Mwikira, Jonathan Wilfred na Dorice konela, hawa waliombewa na Kiongozi wa Upinzani bungeni wanahitaji kuongeza nguvu ya kufanya utafiti na mambo mbalimbali kuhusu taarifa zinazosomwa.
“Sasa hawa tunawalipa sisi, yaani kwa maneno mengine nawalipa mimi halafu wanakaa na kuandika hotuba za kunituhumu mimi hapa. Mimi sijawahi kuona vitu vya namna hiyo na ninyi hamkai mkawaambia hawa watoto. Siku hizi ajira hakuna. Hivi unatuhumu mwajiri wako kiembezembe, uliona wapi kitu kama hicho duniani? alihoji.
Alisema alishazungumza sana suala hilo na kwamba kuanzia sasa watachukua hatua na kuongeza kuwa vijana hao nao amewasamehe kwa sasa kama ambavyo Bunge lilifanya jana kwa Mkuu wa wilaya ya Arumeru na viongozi wengine waliofikishwa mbele ya kamati ya Maadili. Alisema kuanzia sasa atakayetulituhumu Bunge, ataanza kumva bila kujali kama ni maoni ya kambi.
“Halafu huyu Spika unayejaribu kumdharau, baadhi yenu ni baba zao, mambo yakituendea mrama kivyovyote vile utarudi kwake yeye. Ukiugua hapa, ukifanya nini hapa sasa unamtukana na kumdharau, naye akichukua moyo wako wewe,” alisisitiza.
“Kama alivyosema Rais Magufuli kule Zanzibar, wewe unaleta za kuleta halafu mkono wangu huu uidhinishe kwenda India? Tujenge mahusiano, tufanye kazi bila chuki” alisema.
Hata hivyo, Spika Ndugai alisema nia yake si kulifanya Bunge hilo kuwa kanisa au msikiti, bali watu watoe hoja zao wanavyoweza kwa lwa lugha ya staha.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SPIKA NDUGAI AELEZA SABABU ZA KUTAKA KUWAFUKUZA WAFANYAKAZI WANNE WA BUNGE
SPIKA NDUGAI AELEZA SABABU ZA KUTAKA KUWAFUKUZA WAFANYAKAZI WANNE WA BUNGE
https://1.bp.blogspot.com/-sTPfKY7acR0/WQr-Jo2NE4I/AAAAAAAAafw/2MeYxAQzSRI8b-WKt3xpSb1D-vcUCIOggCLcB/s1600/xPIX1-Mhe.Spika-akiongoza-Bunge-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.XXT77AD8Zk.webp
https://1.bp.blogspot.com/-sTPfKY7acR0/WQr-Jo2NE4I/AAAAAAAAafw/2MeYxAQzSRI8b-WKt3xpSb1D-vcUCIOggCLcB/s72-c/xPIX1-Mhe.Spika-akiongoza-Bunge-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.XXT77AD8Zk.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/spika-ndugai-aeleza-sababu-za-kutaka.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/spika-ndugai-aeleza-sababu-za-kutaka.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy