TANZIA: MSANII WA BONGO FLEVA AFARIKI DUNIA LEO

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka nchini Tanzania, Dogo Mfaume anayefahamika zaidi kupitia wimbo wake wa Kazi ya Dukani amefariki dunia leo.
Dogo Mfaume amefikwa na mauti hayo ikiwa ilikuwa ni siku moja kabla ya kufanyiwa upasuaji wa ubongo siku ya Ijumaa Mei 19, 2017.
Msanii huyo alikuwa achangiwe damu kesho ikiwa ni maandalizi ya awali kuweza kufanyiwa upasuaji huo.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitaendelea kuwajia.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post