TAZAMA MAGOLI YOTE SERENGETI BOYS vs ANGOLA

Kelvin Naftal anaipatia Serengeti bao kwa njia ya kichwa akiunganisha mpira wa kona uliopigwa kutoka kulia mwa uwanja.

Dakika ya 18: Angola wanapata bao la kusawazisha kutokana na mpira wa krosi, walinzi wa Serengeti wakafanya uzembe. Mfungaji wa bao hilo ni PedroSerengeti wanapata bao la pili kupitia kwa Abdul Suleiman baada ya kazi nzuri iliyofanya na Mkomola.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post