TCU YATANGAZA MFUMO MPYA WA KUDAHILI WANAFUNZI VYUO VIKUU MWAKA 2017/18

Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) iliyotolewa Mei 24 mwaka huu inaeleza kuwa wanafunzi wote wanaotaka kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka  wa masomo 2017/2018 watatumia mfumo mpya ambapo unawataka kwenda vyuoni moja kwa moja kuomba nafasi za kujiunga.
Uamuzi huu wa TCU umekuja kufuatia maagizo ya serikali yaliyotolewa na Rais Dkt Magufuli akiitaka tume hiyo kutowapangia vyuo wanafunzi na badala yake wawaache wachague wenyewe vyuo wanavyotaka kwenda kusoma.
Wanafunzi wote waliomaliza kidato cha sita mwaka huu, wataomba moja kwa moja nafasi kwenye vyuo wanavyotaka kujiunga navyo, mara tu nafasi hizo zitakapotangazwa.
Hapa chini ni taarifa ya TCU na viwango vya chini vya udahili kwa mwaka 2017/18.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post