TUZO ZA GRAMMY 2018 KUFANYIKA NEW YORK

Tuzo za Grammy kwa mwaka wake wa 60 zinatarajia kufanyika katika mjini New York, Marekani.

Mayor wa mji huo, Bill de Blasio amethibitisha tuzo hizo kuwa zitafanyika katika mji wake huo Januari 28 katika ukumbi wa Madison Square Garden.
“There is no better place for Music’s Biggest Night than the world’s greatest city. Bringing these awards back to the city will allow us to further support and foster the music industry in New York,” amesema mayor huyo.
Mara ya mwisho mji wa New York kuwa wenyeji wa tuzo hizo ni mwaka 2003 katika Grammy ya 45 na miaka 17 kati ya 18 ya mwisho tuzo hizo zimeandaliwa katika mji wa Los Angeles.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post