UMEITAZA VERSION YA KIHINDI YA WIMBO WA DULLY SYKES, DIAMOND NA OMMY DIMPOZ 'UTAMU'? TAZAMA HAPA

Kuna version ya Kihindi ya wimbo wa Dully Sykes wa miaka mitano iliyopita aliyowashirikisha Diamond na Ommy Dimpoz, Utamu.


Wimbo huo umeimbwa na msanii wa Kihindi aitwaye R&B Paul na unaitwa Aana Voona Darling.
Msanii huyo anadaiwa kupewa ridhaa na Dully Sykes kutumia beat ya wimbo huo. Hata hivyo ametumia pia melody zilizoimbwa na wasanii hao.


Huo sio wimbo wa kwanza kufanyiwa hivyo upo huu wa miaka kumi iliyopita unaitwa sina hali uliimbwa na Mask Girls  

Uliibwa na msanii kutoka bara arab anaitwa nancy ajram baada ya miaka mitatu aliuimba katika lugha yake na kuupa jina la Yay Seher Oyounoh huku akitumia vionjo vya wimbo wa sina hali utazame hapa chini
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post