VIDEO: DAVID BECKHAM ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE DAR ES SALAAM

Mcheza soka nguli wa nchini Uingereza, David Beckham jana aliwasili nchini Tanzania katika ziara inayoaminika kuwa ni kwa ajili ya kutembelea vivutio vya kitalii.
Beckham ambaye alikuwa ameambatana na familia yake aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam majira ya jioni.

Ujio wa mwanasoka huyo aliyewahi kutamba dunia, umekuja ikiwa ni majuma machache tangu muigizaji maarufu nchini Marekani, Will Smith na pia aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel walipoitembelea Tanzania kwa ajili ya kutalii.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post