VIDEO: IGP SIMON SIRRO ATAJA KIPAUMBELE CHAKE CHA KWANZA KWA JESHI LA POLISI

SHARE:

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Nyakoro Sirro amesema kuwa lengo lake kubwa baada ya kukabidhiwa wadhifa huo mpya ni kuhakikisha kuw...

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Nyakoro Sirro amesema kuwa lengo lake kubwa baada ya kukabidhiwa wadhifa huo mpya ni kuhakikisha kuwa uhalifu unapungua na anaimani kubwa kwa atafanikiwa kwa sababu wananchi ambao ni wema ni wengi kuliko ambao ni majambazi.
Simon Sirro ameyasema hayo leo mara tu baada ya kupandishwa cheo na kuwa Inspeka Jenerali wa Jeshi la Polisi na kuapishwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi akichukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Aidha, IGP Sirro amewaomba wananchi kutoa ushirikiano ili wafanikiwe kutokomeza uhalifu kwa sababu wahalifu wanaishi ndani ya jamii, hivyo Polisi peke yao hawatafanikiwa.
“Ombi langu kwa Watanzania, ili tuweze kuishi kwa amani na utulivu, ni vizuri sana wakatoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi. Naamini kabisa tutaweza kwa sababu hawa wahalifu ni wachache na sisi ni wengi, kwa hiyo umoja wetu ule ni lazima tutashinda” amesema IGP Sirro wakati akihojiwa na maafisa wa habari wa Ikulu.
Mbali na kuomba ushirikiano huo kwa raia, IGP Sirro ametoa onyo kwa wahalifu kuwa, siku zote uhalifu haulipi, na ukiung’ang’ania sana, utasababisha ukaiacha kazi yako.
Msikilize hapa chini IGP Sirro akizungumza;COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: VIDEO: IGP SIMON SIRRO ATAJA KIPAUMBELE CHAKE CHA KWANZA KWA JESHI LA POLISI
VIDEO: IGP SIMON SIRRO ATAJA KIPAUMBELE CHAKE CHA KWANZA KWA JESHI LA POLISI
https://3.bp.blogspot.com/-sZ56X56HzGA/WSv_31_VbqI/AAAAAAAAb_o/E47NWXJL7CgUkDGbMEYyqjEC7wIfY46QQCLcB/s1600/x2-13-664x375.jpg.pagespeed.ic.m8rFqxNZCE.webp
https://3.bp.blogspot.com/-sZ56X56HzGA/WSv_31_VbqI/AAAAAAAAb_o/E47NWXJL7CgUkDGbMEYyqjEC7wIfY46QQCLcB/s72-c/x2-13-664x375.jpg.pagespeed.ic.m8rFqxNZCE.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/video-igp-simon-sirro-ataja-kipaumbele.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/video-igp-simon-sirro-ataja-kipaumbele.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy