VIDEO: KAULI YA MREMA KUHUSU VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

SHARE:

Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania, Agustine Lyatonga Mrema amesema kuwa ana uhakikia kwamba Rais Dkt John Pombe Maguf...

Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania, Agustine Lyatonga Mrema amesema kuwa ana uhakikia kwamba Rais Dkt John Pombe Magufuli atafanikiwa katika vita dhidi ya dawa za kulevya kutokana na namna anavyofanya kazi.
Mrema alisema kuwa anawashangaa wale wote ambao wanambeza Rais Dkt Magufuli kwani amekuwa akifanyakazi kubwa sana kama vile kupambana na dawa za kulevya, watumishi hewa, kununua ndege, kujenga reli, watumishi wenye vyet feki.
Mrema aliyasema hayo waka akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na Dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam. Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale na Mrema aliyepokea tuzo zote kwa niaba ya wengine.

Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale na Mrema aliyepokea tuzo zote kwa niaba ya wengine.Tuzo hizo zimetolewa na Taasisi ya Mama’s and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR). Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Bi. Emmi Ally Ghahae na Mrakibu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Scholastica Luhamba.
Mrakibu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Scholastica Luhamba akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Uzinduzi huo ulienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale na Agustine Lyatonga Mrema( kulia) aliyepokea tuzo zote kwa niaba ya wenzake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mama’s and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR) Bi. Emmi Ally Ghahae akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii akiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale na Mrema aliyepokea tuzo zote kwa niaba ya wengine.Tuzo hizo zimetolewa na taasisi hiyo. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema na Mrakibu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Scholastica Luhamba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mama’s and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR) Bi. Emmi Ally Ghahae akionyesha tuzo maalum kwa kutambua mchango wa Mhe. Agustine Lyatonga Mrema (mwenye kofia) katika kuthamini jamii wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam. Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale ambapo Mrema alipokea tuzo zote kwa niaba ya wengine.
Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akipokea risala kutoka kwa mmoja wa wanufaika wa Taasis ya Mama’ and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR) Sempeho Samweli Mtangi wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Bi. Emmi Ally Ghahae. Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale ambapo Mrema alipokea tuzo zote kwa niaba ya wengine.
Mwakilishi wa kundi la wasanii Bi. Rahmaty Shariffu (Najma) akitoa nasaha kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Maweni iliyoko Kigamboni Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Program hiyo inaratibiwa na Taasis ya Mama’ and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR).
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Maweni iliyopo Wilayani Kigamboni Jijini Dar es Salaam Kheri Rajab akitoa neno la shukrani kwa Taasis ya Mama’ and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR) wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.
Paschal Gideon Mtenzi akitoa ushuhuda na nasihi kwa wanafunzi walioshiriki hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana iliyofanyika katika Shule ya Msingi Maweni iliyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni Ally Baadeni Farahan, ambao wote kwa pamoja walikuwa waathirika wa dawa za kulevya lakini kwa sasa wamejinasua kwa kupata huduma ya matibabu.
 
 
Kikundi cha sanaaa kutoka ofisi ya Kata ya Mji Mwema, Kigamboni Jijini Dar es Salaam wakitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.
 
 
Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Maweni na wakazi wa Kigamboni Jijini Dar es Salaam wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni iliyofanyika katika Shule ya Maweni jana.
Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Maweni iliyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana.
 
 
Picha na: Frank Shija – MAELEZO

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: VIDEO: KAULI YA MREMA KUHUSU VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
VIDEO: KAULI YA MREMA KUHUSU VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
https://3.bp.blogspot.com/-6Xy0vTmNAHQ/WRhDcL7ITSI/AAAAAAAAbMs/_ugYYYnIQr4RmJujbER50mw9S8r-99cqACLcB/s1600/xJP1-640x375.jpg.pagespeed.ic.oxk72s_6VR.webp
https://3.bp.blogspot.com/-6Xy0vTmNAHQ/WRhDcL7ITSI/AAAAAAAAbMs/_ugYYYnIQr4RmJujbER50mw9S8r-99cqACLcB/s72-c/xJP1-640x375.jpg.pagespeed.ic.oxk72s_6VR.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/video-kauli-ya-mrema-kuhusu-vita-dhidi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/video-kauli-ya-mrema-kuhusu-vita-dhidi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy