VIDEO: RAIS MAGUFULI AKIKABIDHI KITI CHA UENYEKITI WA EAC KWA MUSEVEN

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, siku ya Jumamosi Mei 20 mwaka huu, alimkabidhi kiti cha Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika mkutano mkuu wa 18 wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi wanachama na wakuu ambao hawakuweza kufika waliwakilishwa na wajumbe waliowatuma.
Hii ni hotuba ya Rais Magufuli wakati akimkabidhi Rais Museven kiti hicho.JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post