VIDEO: TAZAMA VIDEO MPYA YA DARASSA- HASARA ROHO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Darassa ameachia video yake mpya Hasara Roho iliyotengenezwa na mtayarishaji wa video maarufu nchini Tanzania, Hanscan.
Hanscana ndiye aliyetengeneza pia video nyingine za nyimbo za Darassa kama, Muziki, Utanipenda na Too Much. Itazame video ya Hasara Roho hapa chini;
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post