WAMILIKI WA SHULE, MEYA WA ARUSHA WASHIKILIWA NA POLISI SHULENI LUCKY VICENT

ARUSHA: Wamiliki wa Shule Binafsi pamoja na Meya wa Jiji la Arusha waliokuwa wameongozana na waandishi wa habari kwenda kutoa rambirambi katika Shule ya Msingi Lucky Vicent, wamewekwa chini ya ulinzi na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria shuleni hapo.
Wamiliki hao walikuwa wameongozana pia na baadhi ya viongozi wa dini pamoja na baadhi ya wazazi waliofiwa na watoto wao katika ajali iliyotokea huko Rhotia, wilaya ya  Karatu, mkoani Aursha.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post