WANAFUNZI WA LUCKY VICENT WANAOTIBIWA MAREKANI WAPEWA UFADHILI WA MASOMO

Bodi ya wadhamini ya Shirika la Stemm (Siouxland Tanzania Educational Medical Ministries) imetoa ufadhili kwa watoto watatu waliojeruhiwa baada ya kunusurika katika ajali ya basi iliyotokea hiko rhotia Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha kwa iliyosababisha vifo vya wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1.
Bodi hiyo imeamua kuwasaidia ufadhili wa kimasomo 9Scholarship) watoto hao mpaka watakapofika chuo kikuu.
Haya yameelezwa na Mbunge wa Singida, Lazaro nyalandu katika ukurasa wake wa instagram akisema kuwa hatua iliyochukuliwa imelenga kuhakikisha kuwa maisha ya watoto pamoja na walimu wao waliofariki katika ajali hiyo wanakuwa katika kumbukumbu daima.
“BODI ya WADHAMINI ya Shirika la STEMM (Siouxland Tanzania Educational Medical Ministries) IMEAMUA kuwa, ili KUWAENZI WATOTO 32 WALIOPOTEZA maisha katika AJALI ya KARATU (Ikiwa ni PAMOJA na Waalimu WAO wawili na Dereva), STEMM itatoa UFADHILI (scholarships) kwa WATOTO Sadia, Doreen, na Wilson kuanzia ELIMU yao ya SASA watakaporejea TANZANIA, hadi ELIMU ya CHUO KIKUU.  Hatua HII inalenga kuhakikisha KUWA maisha ya WALIOTANGULIA mbele ya HAKI katika AJALI hiyo na MUUJIZA wa KUPONA WATOTO hawa WATATU itakuwa KUMBUKUMBU ya DAIMA.”

A POST SHARED BY LAZARONYALANDU (@LAZARONYALANDU) ON 
Hata hivyo hali za kiafya za watoto hao zimezidi kuimarika na kuendelea vizuri chini ya uangalizi wa madaktari wa Marekani pamoja na daktari na muuguzi kutoka Tanzania.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post