WANANCHI WATOE USHIRIKIANO UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA

SHARE:

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi (katikati) akisikiliza kwa maelezo ya tathmini ya athari za mazingira na kijamii kwa mradi wa ...

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi (katikati) akisikiliza kwa maelezo ya tathmini ya athari za mazingira na kijamii kwa mradi wa bomba la mafuta, wa kwanza kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa Dkt Angelina Lutambi na kushoto ni Mtathmini wa mazingira Bi Saada Juma kutoka kampuni ya JSB.
dc3
Ramani inayoonyesha maeneo ya wilaya tatuza Mkoa wa Singida ambapo tathmini ya athari za mazingira na kijamii kwa mradi wa bomba la mafuta litakalopita kutoka Uganda hadi Tanga.
dc5
Wadau wa sekta mbalimbali zinazohusika na mazingira kutoka mkoa wa Singida wakifuatilia kwa umakini maelezo ya tathmini ya athari za mazingira na jamii kwa ujenzi wa bomba la mafuta litakalopita kutoka Uganda hadi Tanga.
dc1
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akisikiliza kwa maelezo ya tathmini ya athari za mazingira na kijamii kwa mradi wa bomba la mafuta, wa kwanza kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa Dkt Angelina Lutambi.
dc4
Mtaalamu Bw. Lalit Kumar kutoka kampuni ya RSK  itakayohusika na ujenzi wa bomba la mafuta litakalopita kutoka Uganda hadi Tanga.
…………………………………………………………………………….
Wananchi wa Wilaya tatu za Makalama, Iramba na Singida Mkoani Singida ambazo bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga linapita wanapaswa kutoka ushirikiano wa kutosha katika hatua zote za ujenzi wa bomba hilo ili wanufaike na fursa zitakazopatikana kwa uwepo wa mradi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ametoa rai hiyo katika kikao cha tathmini ya athari za mazingira na za kijamii katika mradi wa bomba la mafuta ambapo watathmini watapita maeneo yote ambapo bomba hilo litapita ili kupata maoni yao ili yaweze kuzingatiwa wakati wa utekelezaji wa mradi huo.
Dkt. Nchimbi amesema wananchi wanapaswa kuwajulisha watathmini hao kila kitu kuhusu hali ya mazingira na kijamii ili mradi huo usiharibu mazingira au upunguze baadhi ya athari wakati wakujenga bomba hilo.
Ameongeza kuwa wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu fidia kwa maeneo ambapo bomba litapita kwakuwa watalipwa vizuri fidia zao na hivyo wanapaswa kuruhusu mradi huo upite katika maeneo yao bila wasiwasi na pia wasianze kuendeleza maeneo ambayo wamesikia mradi utapita kwa kigezo tu cha kupata fidia kubwa.
Kwa upande wake Mtathmini wa Mazingira Saada Juma kutoka kampuni ya JSB ambayo inafanya tahmini hiyo amesema wanatekeleza matakwa ya kisheria katika kufanya tahmini hiyo na wataifanya kwa kasi kubwa ili ujenzi rasmi wa mradi uwahi kufanyika.
Saada amesema mradi huo utakua kambi mbalimbali na kwa mkoa wa Singida kambi itakuwa katika kata ya Msisi ambapo uwepo wa kambi hiyo utaongeza uchumi wa kata na wilaya hiyo.
Amesema vijana wa Singida wajiandae kwa ajili ya kupata ajira mbalimali katika mradi huo, baadhi ya miundombinu itaboreshwa pamoja na uchumi kukukua kwa kuuza bidhaa na kutoa huduma kwa watakaokuwa wakiishi katika kambi hiyo.
Tathmini ya athari za mazingira na za kijamii kwa wilaya za Singida, Mkalama na Iramba ambapo mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda mpaka  Tanga itaana mapema wiki ijayo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WANANCHI WATOE USHIRIKIANO UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA
WANANCHI WATOE USHIRIKIANO UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA
https://4.bp.blogspot.com/-DoSwmBakZ2M/WQuQS8L9HiI/AAAAAAAAajM/MFCJllAGU0gbZEC2RitepFuJGdBVWMhTQCLcB/s1600/dc2.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-DoSwmBakZ2M/WQuQS8L9HiI/AAAAAAAAajM/MFCJllAGU0gbZEC2RitepFuJGdBVWMhTQCLcB/s72-c/dc2.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/wananchi-watoe-ushirikiano-ujenzi-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/wananchi-watoe-ushirikiano-ujenzi-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy