WASANII WAGUSWA NA VIFO VYA WANAFUNZI 32

SHARE:

Huzuni umetanda, Wilayani Karatu Arusha na Tanzania nzima baada ya kutokea ajali mbaya ya basi iliyosababisha vifo vya wanafunzi 32 wa dar...

Huzuni umetanda, Wilayani Karatu Arusha na Tanzania nzima baada ya kutokea ajali mbaya ya basi iliyosababisha vifo vya wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wagari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha.

Ajali hiyo imetokea Jumamosi hii saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria wanafunzi hao kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu mkoani humo.
Kufutia ajali hiyo, wasanii wa muziki na filamu wametoa salamu zao za rambirambi kwa ndugu, jamaa, marafiki pamoja na watu walioguswa na msiba huo.
Hizi ni salamu za pole za wasanii hao.
Diamond
Kwa niaba ya uongozi na team nzima ya @wcb_wasafi ningependa nitoe Pole kwa Familia zote ambazo watoto wao walikuwepo kwenye ajali hii….tupo nao pamoja katika kipindi hichi kigumu… Mwenyez Mungu awasaidie wapone haraka wote wenye majeraha na azilaze Roho za Marehem wote Mahali pema Pemponi Amin🙏
Mwana FA
Hii habari ya Karatu inasikitisha sana,vitu vibaya ambavyo havipo ndani ya uwezo wetu kuvizuia..Mungu awasitiri na azipe nguvu familia zao‬!
Mansu Li
Mola watie nguvu wazazi/ndugu wa watoto waliyopoteza maisha kwenye ajali leo, na uwalaze pema marehemu In Shaa Allah 🙏🏿 ( Innah lillahi wa innah ilayhi raajiun )
Vanessa Mdee
Ni huzuni mkubwa kuamka na kupata taarifa ya ajali iliyo chukua roho za ndugu zetu huko Karatu..Mungu awape nguvu wanafamilia katika kipindi hichi kigumu. Mungu ndio mpangaji na tunaomba alaze roho za ndugu zetu waliopoteza maisha yao kwa ajali leo huko karatu.
Dogo Janja.
ole zangu za dhati ziwafikie familia zilizopoteza watoto wao kwenye ajali May their sweet souls rest in eternal peace. Amen
Nay wa Mitego
Daaaah.! Wanasema Hakuna aijuae Kesho yake. Mungu azilaze Roho za Marehemu Mahara pema🙏🏿. Pole kwa Familia zote zilizo patwa na Msiba huu😭
Shamsa Ford
Mungu una makusudi yako kwa haya yote hatuwezi kukulaumu ingawa inauma sana.Naomba uwatie nguvu wazazi wa hawa watoto..inauma sana jamani Mungu azipumzishe roho za watoto mahali pema peponi inshaallah..
AY
Mungu walaze Mahali Pema Peponi wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent waliopoteza maisha yao kwenye ajali mbaya ya gari na uwajaalie familia zao nguvu katika kipindi hiki kigumu..Ameen 🙏🏿
Bongo5 inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza watu wao katika ajali hii mbaya, Mungu azilaze pema roho zao.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WASANII WAGUSWA NA VIFO VYA WANAFUNZI 32
WASANII WAGUSWA NA VIFO VYA WANAFUNZI 32
https://3.bp.blogspot.com/-ZwAj0LdSlx8/WQ40aZ1GEkI/AAAAAAAAawA/6-OD0KaaxXYCHs8AcIZR8Zt-K0sPhYWbgCLcB/s1600/AY-400x242.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-ZwAj0LdSlx8/WQ40aZ1GEkI/AAAAAAAAawA/6-OD0KaaxXYCHs8AcIZR8Zt-K0sPhYWbgCLcB/s72-c/AY-400x242.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/wasanii-waguswa-na-vifo-vya-wanafunzi-32.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/wasanii-waguswa-na-vifo-vya-wanafunzi-32.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy