WAZIRI ALISHANGAZA BUNGE BAADA YA KUSEMA HAKUNA MAVAZI YA KIUME NA YA KIKE

SHARE:

Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa bungeni leo amefunguka na kusema hakuna tafsiri ya mavazi ya...

Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa bungeni leo amefunguka na kusema hakuna tafsiri ya mavazi ya kike au kiume kwa kuwa mavazi hayo kama suruali yanavaliwa na watu wote wanaume hata wanawake.
Masauni alitoa ufafanuzi huo bungeni kufuatia Mbunge kutaka kujua serikali inachukua hatua gani kwa baadhi ya wanaume ambao wamekuwa wakijipamba na kujilemba kwa kuvaa nguo za kike.
 
“Ni kweli kuna wanaume wanavaa mavazi ya kike hata wanawake pia wapo wanavaa mavazi ya kiume, ila sidhani suala la mavazi kama lina tafsiri kuwa vazi hili ni la kike tu na hili ni la kiume tu, nadhani suala hili la Mbunge linahitaji ufafanuzi wake wa kina ili tujue yeye alikuwa anamaanisha nini zaidi katika jambo hili” alisema Masauni
Mbali na hilo Naibu Waziri huyo alitolea ufafanuzi malalamiko ambayo yametolewa kuwa wapo baadhi ya wanawake huvuliwa hijabu zao na kusema si kweli kwani polisi wanafanya kazi zao kwa weledi na kufuata sheria.
“Si kweli kwamba wanawake wanavuliwa hijjabu na nikabu zao na polisi wa kiume pindi wanapokaguliwa kwani polisi wanafanya kazi zao kwa kufuata sheria na umakini mkubwa, ila kama wapo watu wanafanya hivyo niwaombe wanawake wote pindi wanapofanyiwa hivyo wapeleke malalamiko yao kwenye vyombo husika tutalifanyia kazi, natambua kule Zanzibar kuna changamoto katika kufanya ukaguzi lakini hatukuona wanawake wakivuliwa mavazi yao” alisisitiza Masauni

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAZIRI ALISHANGAZA BUNGE BAADA YA KUSEMA HAKUNA MAVAZI YA KIUME NA YA KIKE
WAZIRI ALISHANGAZA BUNGE BAADA YA KUSEMA HAKUNA MAVAZI YA KIUME NA YA KIKE
https://3.bp.blogspot.com/-QtPqdToYnBE/WQ21xLI51aI/AAAAAAAAats/g3C_I2eGUEo6MFJzMFw9kaDFNaVoL_jjwCLcB/s1600/x10-1-640x375.jpg.pagespeed.ic.DsPSe3mFla.webp
https://3.bp.blogspot.com/-QtPqdToYnBE/WQ21xLI51aI/AAAAAAAAats/g3C_I2eGUEo6MFJzMFw9kaDFNaVoL_jjwCLcB/s72-c/x10-1-640x375.jpg.pagespeed.ic.DsPSe3mFla.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-alishangaza-bunge-baada-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-alishangaza-bunge-baada-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy