WAZIRI KAIRUKI ATANGAZA NEEMA KWA WATUMISHI WALIOKUTWA NA VYETI FEKI

SHARE:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki, leo Bungeni amesema kuwa wizara yake ime...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki, leo Bungeni amesema kuwa wizara yake imetoa muda wa kukata rufaa kwa watumishi wote wa umma waliotajwa katika tuhuma ya kughushi vyeti.
Waziri Kairuki aliyasema hayo bungeni Dodoma leo, na kueleza kuwa kama kuna yeyote anayeona kuwa ameonewa basi anaweza kukata rufaa na vyeti vyake kuhakikiwa upya.
Angella Kairuki alisema kuwa watumishi wote watakaokata rufaa kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala Bora, wapeleke kwa waajiri wao vyeti vile vile ambavyo viko katika majalada yao ya utumishi, huku nakala zikipelekwa Baraza la Mitihani (NECTA).
“Wanaotaka kukata rufaa kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma, nakala iende Baraza la mitihani na ipitishwe kwa muajiri wao, na iambatanishe vyeti vile vile ambavyo viko katika jalada lake binafsi la utumishi na ambavyo vilihakikiwa kwa mara ya kwanza. Mwajiri akishavipitisha atavipeleka moja kwa moja baraza la mitihani halafu seti hiyo nyingine itapelekwa kwa Katibu mkuu utumishi,” alisema Waziri.
Aidha amewaonya wale wote ambao wanataka kutumia mwanya huo ili kudanganya kwa mara nyingine, yaani kupeleka vyeti vyao ili vihakikiwe upya huku wakijua kwamba ni kweli walighushi, kuwa watakapobainika adhabu yao itakuwa kubwa zaidi ya hii iliyotolewa awali.
“Tutavipitia kwa kina kuliko hata awali. Kwa hiyo niombe tu kutoa angalizo, tusifanye nalo mzaha kwa wale ambao wanatusikiliza. Tunatoa ruksa hiyo ya rufani, lakini kweli iwe mtu ana uhakika kuwa ameonewa. Kwa sababu itakapotokea mtu ametumia fursa hii ya rufani na anaujua ukweli, na matokeo yakarudi vile vile, kwa kweli adhabu itakuwa kali zaidi,” alisema Waziri Kairuki.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAZIRI KAIRUKI ATANGAZA NEEMA KWA WATUMISHI WALIOKUTWA NA VYETI FEKI
WAZIRI KAIRUKI ATANGAZA NEEMA KWA WATUMISHI WALIOKUTWA NA VYETI FEKI
https://4.bp.blogspot.com/-3qPcvVvVgDA/WQn-yPe89YI/AAAAAAAAadg/zeIPc-GGm6geDvPfP7_aOKnsJbhjra46gCLcB/s1600/ChiJQPnWgAAuS5Q.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-3qPcvVvVgDA/WQn-yPe89YI/AAAAAAAAadg/zeIPc-GGm6geDvPfP7_aOKnsJbhjra46gCLcB/s72-c/ChiJQPnWgAAuS5Q.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-kairuki-atangaza-neema-kwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-kairuki-atangaza-neema-kwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy