WAZIRI MKUU LEO KUONGOZA MKUTANO WA WADAU WA TASNIA YA KOROSHO, DODOMA

SHARE:

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho utakaofanyika kwa siku mbili k...

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho utakaofanyika kwa siku mbili kuanzia Jumamosi, Mei 13, 2007, mjini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho (CBT) Hassan Jarufu, amesema ya kuwa Mkutano huo Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho utawajumuisha washiriki wapatao 600 na utafanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango, Dodoma.
“Kama tulivyokwishakueleza, Mkutano huu Mkuu utafunguliwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa na watakuwapo pia Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dk. Charles Tizeba, Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa inayolima Korosho ya Lindi, Pwani, Tanga, Mtwara na Ruvuma.
“Tumealika pia waheshimiwa Wabunge wanaotoka katika Mikoa hiyo, wakulima wa Korosho na watendaji wa Vyama vya Ushirika vya zao la Korosho. Mkutano huu utajadili kwa kina changamoto zinazoikabili Tasnia ya Korosho nchini,” alisema Jarufu.
Mkutano huu Mkuu wa Wadau wa Tasniaya Korosho unakuja katika wakati ambao Tasnia ya Korosho imepata mafanikio muhimu katika msimu uliopita ambayo ni pamoja na kuweka udhibiti uliosababisha Korosho nyingi kuuzwa kwa kutumia mfumo wa Stakabadhi Ghalani na hivyo kupunguza matumizi ya Kangomba, kipimo ambacho kwa muda mrefu kimekuwa kikimnyonya mkulima.
Udhibiti huo ulisababisha makusanyo ya Korosho kuongezeka kutoka tani 155, 244.645 msimu wa 2015/2016 hadi tani 264, 887. 527 katika msimu wa 2016/2017.
Kadhalika, Mkutano huu Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho unafanyika katika wakati ambao bei ya Korosho imepanda kutoka 2,800/= kwa kilo ya Korosho ghafi daraja la kwanza msimu wa 2015/2016 hadi 4,000/= kwa kilo katika msimu wa 2016/2017.
Aidha, katika hatua inayolenga kupanua kilimo cha Korosho nchini, CBT imekuwa, kuanzia Februari mwaka huu, ikigawa bure miche ya mikorosho kwa wakulima ili waongeze uzalishaji wa zao hilo.
Kwa mujibu wa Jarufu, kwa kuanzia, jumla ya miche milioni 10 itagawiwa kwa wakulima wa Mikoa ya Lindi, Pwani, Tanga, Mtwara na Ruvuma mwaka huu.
“ Tumeanza kugawa bure kwa wakulima miche ya mikorosho. Tutafanya hivyo kwa miaka mitatu mfululizo kwa kila mwaka miche milioni 10. Sisi tumeigharimia lakini wao tunawapa bure. Tunataka waitunze mpaka ikue ili hatimaye tuongeze kwa kiasi kikubwa uzalishaji,” anasema Jarufu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAZIRI MKUU LEO KUONGOZA MKUTANO WA WADAU WA TASNIA YA KOROSHO, DODOMA
WAZIRI MKUU LEO KUONGOZA MKUTANO WA WADAU WA TASNIA YA KOROSHO, DODOMA
https://1.bp.blogspot.com/-MAYOZFXFxz8/WRc2r2Rv9II/AAAAAAAAbLw/TQDfZDsUnCYVAra1cGuwUbylP86-iTZ2gCLcB/s1600/xMAJALIWAPM-640x375.jpg.pagespeed.ic.m3oFuUejdL.webp
https://1.bp.blogspot.com/-MAYOZFXFxz8/WRc2r2Rv9II/AAAAAAAAbLw/TQDfZDsUnCYVAra1cGuwUbylP86-iTZ2gCLcB/s72-c/xMAJALIWAPM-640x375.jpg.pagespeed.ic.m3oFuUejdL.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-mkuu-leo-kuongoza-mkutano-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-mkuu-leo-kuongoza-mkutano-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy