WAZIRI MWAKYEMBE AIPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUITANGAZA TANZANIA

SHARE:

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe  (kulia) akimpa mkono wa kumkaribisha nyumbani  mchezaji wa Sere...

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe  (kulia) akimpa mkono wa kumkaribisha nyumbani  mchezaji wa Serengeti Boys Bw. Abdul Sulemani (kushoto) katika hafla ya kuwapokea wachezaji hao waliorejea nchini kutoka katika michuano ya AFCON nchini Gabon jana Jijini Dar es Salaam.
A
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Serengeti Boys pamoja na viongozi wa timu hiyo katika hafla ya kuwakaribisha baada ya kurejea kutoka  katika michuano ya AFCON nchini Gabon jana Jijini Dar es Salaam. 
A1
 Wachezaji wa timu ya vijana chini ya miaka 17 “Serengeti Boys” wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo katika picha) katika hafla ya kuwakaribisha baada ya kurejea kutoka  katika michuano ya AFCON nchini Gabon jana Jijini Dar es Salaam.  
(Picha na: Lorietha Laurence – WHUSM
………………………
Na Shamimu Nyaki-WHUSM
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameipongeza timu ya vijana chini ya miaka 17 “Serengeti Boys” kwa hatua nzuri  waliyofikia katika kiwango cha Soka la Afrika kwa kushika nafasi ya pili katika kundi B walilokuwa wanacheza wakati wa michuano ya AFCON iliyomaliziki hivi karibuni Mjini Gabon.
Pongezi hizo zimetolewa jana Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuipokea timu hiyo katika viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Nyerere ambapo Waziri Mwakyembe aliwataka walimu na wachezaji  hao  kuendelea kujiandaa kwa ajili ya mashindano mengine yaliyo mbele yao.
“Nimefurahi kwa hatua mliyoifikia na watanzani wote wanawapongeza kwa kuwa mmeshindana kwa uwezo wenu na kuirudisha Tanzania katika ramani  ya soka baada ya kukaa nje ya michezo ya AFCON  kwa takribani miaka 30 alisema” Mhe Mwakyembe.
Aidha aliongeza kuwa hapo walipofika wao ni mashujaa na Serikali inaahidi   kushirikiana nao  katika kuhakikisha kuwa  vipaji hivyo vinaendelezwa kwa ajili ya ngazi nyingine za kisoka.
Naye Kocha wa Serengeti Boys Kim Paulsen ameiomba Serikali na wadau wa michezo nchini kuendelea kuisadia  timu hiyo katika maandalizi mbalimbali ili kuipa motisha zaidi katika kufanikisha ndoto ya Tanzania katika mchezo wa soka.
Kwa upande wake kapteni wa timu ya Serengeti Boys Bw. Dickson Job amewashukuru watanzania  kwa mchango  mkubwa walioutoa kwao katika maandalizi mpaka hapo walipofikia ingawa hawakufanikiwa kurudi na ushindi.
“Mchezo una matokeo matatu kushinda, kushindwa au kutoka sare ingawa hatukutarajia kushindwa kwa kuwa tulitamani sana kurudi na ushindi  kama ambavyo tuliwaahidi watanzania ila mwaka huu bahati haikuwa yetu ila tunaahidi kuendeleza mapambano katika hatua zijazo” alisema Bw. Job
Timu ya Serengeti Boys imerejea nyumbani baada ya kumalizika kwa michuano ya AFCON ambapo watapumzika na kuingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na michuano inayofuata ya chini ya miaka 20 inayounda timu ya Ngorongoro Heroes.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAZIRI MWAKYEMBE AIPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUITANGAZA TANZANIA
WAZIRI MWAKYEMBE AIPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUITANGAZA TANZANIA
https://3.bp.blogspot.com/-X-SW_ZQJnlU/WSfSIbuF2iI/AAAAAAAAb0c/PnFro-4AKL0EqRRNhZ-ephhIdRpwqlCAACLcB/s1600/unnamed-177.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-X-SW_ZQJnlU/WSfSIbuF2iI/AAAAAAAAb0c/PnFro-4AKL0EqRRNhZ-ephhIdRpwqlCAACLcB/s72-c/unnamed-177.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-mwakyembe-aipongeza-serengeti.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-mwakyembe-aipongeza-serengeti.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy