WAZIRI MWIGULU AWATAKA WASAIDIZI WAKE KUSIMAMIA HAKI ZA WAFANYAKAZI, PAMOJA NA KUONDOA URASIMU, AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YAKE KUJADILI UTEKELEZAJI WA BAJETI 2017/2018

SHARE:

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya (wapili kushot...

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya (wapili kushoto), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Dk. Juma Malewa (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi (kushoto) na Katibu wa Baraza hilo, Amani Mashaka wakiimba wimbo wa Mshikamano Daima kabla ya Waziri Mwigulu kufungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara kilichojadili Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2016/2017 na malengo ya mwaka 2017/2018, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mwigulu aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka Watendaji wa Wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara yake kabla ya kufungua Kikao Baraza hilo kilichojadili Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2016/2017 na malengo ya mwaka 2017/2018, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mwigulu aliwataka Wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka watendaji wa wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lilian Mapfa akizungumza katika Kikao kilichojadili Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2016/2017 na malengo ya mwaka 2017/2018 cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki na kulia ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara yake (hawapo pichani) kabla ya kufungua Kikao cha Baraza hilo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mwigulu aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka watendaji wa wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto), akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya mara baada ya Waziri Mwigulu kufungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mwigulu aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka Watendaji wa Wizara hiyo kusimamia haki za Wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati waliokaa), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya (wa pili kushoto), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Dk. Juma Malewa (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi (kushoto), Katibu wa Baraza hilo, Amani Mashaka wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza hilo, mara baada ya Waziri Mwigulu kufungua Kikao cha Baraza hilo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mwigulu aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati mahaitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka watendaji wa wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati waliokaa), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya (wapili kushoto), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Dk. Juma Malewa (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi (kushoto), Katibu wa Baraza hilo, Amani Mashaka wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara hiyo, mara baada ya Waziri Mwigulu kufungua Kikao cha Baraza hilo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mwigulu aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka Watendaji wa Wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI 

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAZIRI MWIGULU AWATAKA WASAIDIZI WAKE KUSIMAMIA HAKI ZA WAFANYAKAZI, PAMOJA NA KUONDOA URASIMU, AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YAKE KUJADILI UTEKELEZAJI WA BAJETI 2017/2018
WAZIRI MWIGULU AWATAKA WASAIDIZI WAKE KUSIMAMIA HAKI ZA WAFANYAKAZI, PAMOJA NA KUONDOA URASIMU, AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YAKE KUJADILI UTEKELEZAJI WA BAJETI 2017/2018
https://2.bp.blogspot.com/-_KVGjbOX1PA/WQxS42PhZuI/AAAAAAABwv0/3vpe6FFAupovYbB7tIv11JbiH96wSGT5QCLcB/s640/PIX%2B1%25281%2529.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-_KVGjbOX1PA/WQxS42PhZuI/AAAAAAABwv0/3vpe6FFAupovYbB7tIv11JbiH96wSGT5QCLcB/s72-c/PIX%2B1%25281%2529.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-mwigulu-awataka-wasaidizi-wake.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/waziri-mwigulu-awataka-wasaidizi-wake.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy