WEMA SEPETU ATAJA SIFA ZA MWANAUME ANAYETAKA AMUOE

Malkia wa filamu bongo, Wema Issac Sepetu amefunguka na kuwataka mashabiki wamuombee apate mume bora atakayekuwa na heshima na wala asiwe mtu maarufu na siyo kumhusisha kila mara na uhusiano wa kimapenzi na msanii Diamond Platnumz.
Wema amefunguka hayo wakati akimjibu Shabiki katika kurasa wake wa Instagram, na kumtaka atambue Diamond ni baba wa watoto wa wili kwa sasa na ifike kipindi watu wanatakiwa wakubali kuwa hakuna kinachoendelea kati yake yeye na Diamond bali wamuombee na yeye apate mume wake ambaye siyo mtu maarufu.
“Sasa baby aliokwambia namtaka Damond ni nani? Life has to go on, yule ni baba wa watoto wawili jamani. Its about time u guys accept that Me and Naseeb no more. Mnachotakiwa kuniombea ni nipate mwanaume bora na siyo bora mwanaume na mwenye heshima zake”- aliandika Wema Sepetu.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post