WENGER AGOMA KUWA NA USAIDIZI NA DIRECTOR OF FOOTBALL KATIKA KLABU YA ARSENAL

Kutokana na shinikizo la mashabiki kutaka klabu yao kufanya vizuri, viongozi wa Arsenal wamependekeza awepo Director Of Football [Mtu atakaye simamia mpira unavyochezwa wakati wa mechi] kitu ambacho kimepingwa vikali na Arsene Wenger.
Arsene Wenger amesema hajawahi kuelewa kazi ya Director Of Football na yeye kama meneja wa Arsenal ndio atakaye kuwa na kauli ya mwisho juu ya jinsi mpira unavyochezwa na timu yake.
Uwepo wa Director Of Football unategemeana sana na kama Wenger anaongezewa mkataba na klabu ya Arsenal.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post