AFYA: AINA YA WANAWAKE WANAOWEZA KUPATA WATOTO MAPACHA

SHARE:

Watu wengi sana hupenda kuwa na watoto mapacha, hii huchangiwa sana na jinsi wanavyoonekana mfano wakiwavaa huo za kufanana huvutia mchan...

Watu wengi sana hupenda kuwa na watoto mapacha, hii huchangiwa sana na jinsi wanavyoonekana mfano wakiwavaa huo za kufanana huvutia mchanoni pa wengi. Licha ya wengi kutamani kuwa na mapacha, ni watu wachache sana ambao hubahatika kuwapata ambapo wengi huihusisha na asili.
Kwa miaka ya nyuma iliaminika kuwa kupata watoto mapacha inawezekana tu kama kwenye familia au ukoo wenu mna asili ya kupata mapacha, kama hamna basi wewe sahau kuwapata.
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wataalamu wa afya wameweza kuelezea mambo mabali mbali yanayoweza kuchangia mtu yeyote kupata watoto mapacha. Mbali na hilo kuna aina ya wanawake ambao wao wanauwezekano mkubwa sana wa kupata mapacha.
Akielezea mada hii kupitia ukurasa wake wa Twitter, Dr. Joachim Mabula alisema kuwa kuna aina mbili za mapacha ambazo mwanamke huweza kupata. Aina ya kwanza ya ni mapacha wa wa kufanana ambao hawa hupatikana pale ambapo yai moja la mwanamke hurutubishwa na kisha kugawanyika na kutengeneza watoto wawili. Mapacha hawa wa kufanana mara nyingi sana huwa wa jinsi moja na huwa na tabia zinazoendana sana.
Aina ya pili ya mapacha, ni mapacha wasiofanana. Mapacha hawa hutokea pale ambao mwanamke anatoa mayai mawili ambayo hurutubishwa na mbegu mbili tofauti na mwanaume na hivyo kila yai huu mtoto. Mapacha hawa wanaweza kuwa wa jinsia moja au toauti. Mara nyingine wanaweza wasiwe na tabia za kufanana wakawa kama ndugu waliozaliwa kwa nyakati tofauti. Na aina hii ya mapacha ndiyo maarufu sana duniani.
Juu ni mapacha wa wasiofanana na chini ni mapacha wanaofanana.
Mabula alieleza kuwa mwanamke yeyote anaweza kuzaa mapacha hata kama kwenye familia yao hakuna mtu aliyewahi kuzaa mapacha. Mtaalamu huyo wa afya alisema baadhi ya wanasayansi wanadai mbegu ya kiume ikiwa na nguvu kubwa husababisha kuvunjika kwa yai na kusababisha mapacha.
Aidha alishauri kuwa ili mwanamke kuweza kuwa na mimba yenye afya na kupata matokeo mazuri anayoyahitaji, aache kabisa au apunguze kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya. Lakini pia, ili mwanamke ashike ujauzito kiurahisi tendo la ndoa linapaswa kuwa na maujuzi ili kulifurahia na kupata matokeo mazuri.
“Wenzi wenye matatizo ya kutopata mtoto ambao vipimo vyao havionyeshi tatizo basi wanakosea namna ya kufanya tendo la ndoa,” alisema Dr. Mabula alipokuwa akitoa elimu hiyo kupitia kipindi cha Elimika Wikiendiambacho hufanyika kila siku ya Jumamosi kuanzia saa mbili asubuhi kupitia mtandao wa Twitter.
Akielezea aina za wanawake wanaoweza kupata watoto mapacha, Dr. Mabula alisema;
  1. Wanawake wenye asili ya ki-Aafrika mafano wanawake kutokea Nigerai wanapata mapacha mara nyingi.
  2. Mwanamke anayetoka kwenye familia ambayo wanawake wanazaa mapacha.
  3. Wanawake wanaobeba mimba wakiwa na umri mkubwa kuanzia miaka 35 na kuendelea.
  4. Wanawake wanene wa kati na warefu wana uwezekano mkubwa wa kupata mapacha.
  5. Wanawake waliozaa watoto wanne au zaidi wana uwezekano mkubwa wa kupata mapacha.
  6. Wanawake walioharibu mimba wanaweza kupata mimba ya mapacha mbeleni.
Kwa wale ambao wanatamani kupata watoto mapacha, Dr. Mabula alieleza mambo kadhaa ambayo ni muhimu kufanywa na wazazi, ambayo ni pamoja na;
  1. Kutumia bidhaa zinazotokana na maziwa mfano yoghurt na mihogo.
  2. Mwanamke kubeba ujauzito wakati bado ananyonyesha.
  3. Matumizi ya magnesiamu, kalsiamu. Dr. Mabuli alitahadharisha kuwa, matumizi hayo huongeza uwezekano wa kupata mtoto wa jinsia ya kike.
  4. Kupandikiza maabara mbegu za kiume na mayai kisha kuyahamishia kwa mwanamke. Upandikizaji huongeza fursa ya kupata mapacha kwa maana kiinitete zaidi kimoja kinaweza kuhamishwa baada ya kurutubishwa.
Mwanamke anapokuwa na ujauzito wa kati ya kipindi cha wiki 8 hadi 12 kinatosha kutambua kama ujauzito uliobeba una mapacha kwa kutumia ultrasound.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: AFYA: AINA YA WANAWAKE WANAOWEZA KUPATA WATOTO MAPACHA
AFYA: AINA YA WANAWAKE WANAOWEZA KUPATA WATOTO MAPACHA
https://2.bp.blogspot.com/-evyE5BUoHrk/WUfHHDdvNSI/AAAAAAAAcZo/1sq8Wf7YvxogiTl-1JQ2F62k5ewMUnpFgCLcBGAs/s1600/xtwins-cancer-736x375.jpg.pagespeed.ic.Ok1egirEwB.webp
https://2.bp.blogspot.com/-evyE5BUoHrk/WUfHHDdvNSI/AAAAAAAAcZo/1sq8Wf7YvxogiTl-1JQ2F62k5ewMUnpFgCLcBGAs/s72-c/xtwins-cancer-736x375.jpg.pagespeed.ic.Ok1egirEwB.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/afya-aina-ya-wanawake-wanaoweza-kupata.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/afya-aina-ya-wanawake-wanaoweza-kupata.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy