BAADA YA TSHABALALA, SASA KAPOMBE NAYE HATIHATI KUWAVAA LESOTHO

Taifa Stars inatarajiwa kuvaana na Lesotho Jumamosi hii katika mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 2019), mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Mbagala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Baada ya awali kuelezwa kuwa beki wa kushoto Hussein Mohamed Zimbwe Jr ataukosa mchezo huo, sasa Shomari Kapombe naye yupo shaki kuukosa mchezo huo kutokana na kuwa majeruhi.

Ikumbukwe kuwa Stars ipo Kundi L na timu za Cape Verde, Uganda, Lesotho na Tanzania.

Kocha Mkuu wa Stars, Salum Mayanga amesema uwezekano wa Kapombe kucheza ni asilimia ndogo kutokana na kuwa majeruhi.

Alisema wakiwa kambini Misri, Kapombe alijitonyesha majeraha ya enka.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post