BEKI WA ARSENAL NJIANI KUTUA BARCELONA, MAZUNGUMZO YAMEFIKIA PAZURI

Taarifa kuwa Arsenal inaweza kumpoteza beki wake, Hector Bellerin ambaye anawaniwa na Barcelona kwa ada ya pauni milioni 50.
Teteszi zinaeleza kuwa tayari Barcelona imeshafanya mazunguzo na Arsenal na kilichobaki ni majadiliano kati ya Barcelona na Bellerin mwenyewe.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 22 anatarajiwa kuzungumza na bosi wake, Arsene Wenger juu ya majaliwa yake kuhusu kurejea kwenye klabu yake ya zamani aliyoichezea katika timu ya watoto.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post