DIAMOND PLATNUMZ AMFUMANIA MPENZI WAKE, ZARI THE BOSS LADY

Katika hali unayoweza kusema ni fumanizi, wanamuziki Diamond Platnumz amechapisha kupitia ukurasa wake wa Instagram ya mzazi mwenzake, Zari The Boss Lady akionyesha kukerwa na kitendo chake cha kuwa kwenye bwawa la kuogelea na mwanaume mwingine.
Baada ya kuweka picha hiyo, Diamodn aliandika, Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa….๐Ÿ‘
A POST SHARED BY CHIBU DANGOTE (@DIAMONDPLATNUMZ) ON 

Maelezo hayo hayakueleza zaidi kuwa Zari alikuwa wapi na mwanaume huyo na kana anauhusiano wa kimapenzi naye.
Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamesema kuwa hiyo siyo fumanizi kama inavyodaiwa bali mwanamuziki huyo anatarajia kutoa wimbo mpya hivyo anatafuta kiki kutoka kwa mashabiki wake.
Tukio hili limekuja zikiwa ni wiki mbili tu tangu Ivan, aliyekuwa mume wa Zari kuzikwa, ambapo baadhi ya watu wamesema alitakiwa kuwa eda na si kujihusisha na mambo hayo ya kiki.
Dakika chache baadae, Zari alimjibu kuwa huyo ni mtoto wa Mjomba wake na kwamba picha hiyo aliipiga mke wa mwanaume huyo. Aidha, Zari alisema kuwa, mwanamke ukiwa mwaminifu, mwanaume atatunga habari za uongo ili kufukia yale ambayo huyafanya wewe ukiwa haupo.
“Photo credit was by his wife. He is my kids uncle, the lates’ cousin And I happened to meet them at a spa. When you are that IT loyal gal, someone will always find fault when it’s not there just to cover and turn around stories of all the dirty they do behind you back.”
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post