IPTL YAOMBA KUONGEZEWA MUDA WA KUFANYABIASHARA NCHINI

SHARE:

EWURA imepokea maombi ya IPTL kuongeza muda wa leseni kwa miezi 55, kuanzia tarehe 16 Januari 2017 hadi 15 Julai 2022. Naomba ieleweke ...

EWURA imepokea maombi ya IPTL kuongeza muda wa leseni kwa miezi 55, kuanzia tarehe 16 Januari 2017 hadi 15 Julai 2022.
Naomba ieleweke kwamba leseni ya kuzalisha umeme hutolewa na EWURA kulingana na pamoja mambo mengine Mkataba wa kuuziana umeme yaani Power Purchase Agreement (PPA) kati ya TANESCO na wazalishaji umeme.
PPA ya IPTL na TANESCO ilisainiwa mwaka 1995 kwa miaka 20 (from Commercial Operation Date (COD). Leseni ya sasa ya IPTL ilitolewa na Wizara ya Nishati na Madini mwaka 1996 kwa kipindi cha miaka 21. COD ya mradi wa IPTL ilifikiwa mwaka 2002 na kuanzia hapo ndo miaka 20 ya PPA ikaanza kuhesabiwa.
Maombi yaliyoletwa na IPTL ni kuongeza muda wa leseni uweze kuendana na mkataba wa mauziano ya umeme. Maombi ya yaliyoko EWURA kwa sasa sio ya kuidhinisha PPA bali kuhaakikisha uzalishaji wa umeme ambao unafanyika na IPTL unafanyika kisheria kwa kupata leseni kutoka EWURA.
Kwa mujibu wa Sheria ya Umeme na Sheria ya EWURA, MEM, AG na TANESCO ni wadau ambao wameombwa na EWURA kutoa maoni yao kuhusu maombi haya. Wananchi pia wameomba maoni yao kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha Sheria ya EWURA na kifungu cha 8 cha Sheria ya Umeme. Kwa hiyo, ni vema watanzania wakatoa maoni yao katika kipindi hiki ili kuisaidia EWURA kufanya maamuzi sahihi.
Kutokana na mijadala mingi ambayo imeendelea kwa miaka kadhaa kuhusu mradi huu, maoni ya MEM, AG, na wadau wengine yanahitajika sana ili kufikia maamuzi sahihi. Kwa sasa, kila mtanzania mwenye maoni/taarifa za kupinga ama kuunga mkono ombi la IPTL anaombwa kuwasilisha EWURA kama tangazo linavyosema.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: IPTL YAOMBA KUONGEZEWA MUDA WA KUFANYABIASHARA NCHINI
IPTL YAOMBA KUONGEZEWA MUDA WA KUFANYABIASHARA NCHINI
https://1.bp.blogspot.com/-qqDQLaIh1Pw/WTjln148P_I/AAAAAAAAcP0/tUUdTuOekVwGODRz0wpADx-Zv-Gg_0RngCLcB/s1600/iptl.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-qqDQLaIh1Pw/WTjln148P_I/AAAAAAAAcP0/tUUdTuOekVwGODRz0wpADx-Zv-Gg_0RngCLcB/s72-c/iptl.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/iptl-yaomba-kuongezewa-muda-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/iptl-yaomba-kuongezewa-muda-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy