KABURI LA BABA MZAZI WA SPIKA NDUGAI LAFUKULIWA NA MABAKI KUHAMISHWA

SHARE:

Ikiwa ni miaka 25 tangu Yustine Ndugai ambaye ni baba mzazi wa Spika wa Bunge, Job Ndugai azikwe katika Kitongoji cha Katente mkoani Geit...

Ikiwa ni miaka 25 tangu Yustine Ndugai ambaye ni baba mzazi wa Spika wa Bunge, Job Ndugai azikwe katika Kitongoji cha Katente mkoani Geita, kaburi lake limefukuliwa na mabaki yake kuchukuliwa na ndugu zake ili kwenda kuzikwa upya katika Kijiji cha Ibagwe, wilayani Kongo mkoani Dodoma.
Mabaki ya mzee huyo aliyefariki dunia Mei 22, 1992 yalichukuliwa na wanaukoo juzi wakiongozwa na Spika Ndugai.
Mwenyekiti wa umoja wa wazee kitongoji cha Katente Namba Moja, Joseph Kitafuma alisema walimpokea mzee huyo kijijini hapo kama mchimbaji mdogo wa dhahabu mwaka 1986. Kitafuma alimuomba Spika Ndugai kuwajengea zahanati kwani aliyotibiwa baba yake wakati anaugua imechakaa sana na kusema zahanati hiyo itapewa jina la Ndugai, ombi ambalo kiongozi huyo wa bunge alilikubali.
Mbunge wa Bukombe, Dotto Biteko aliwataka wananchi kuona umuhimu wa kuwatunza wazazi na kuhamisha makaburi yao kwa kufuata mila na desturi za eneo husika. Alisema kuwa, kitendo kilichofanywa na spika ni cha kuigwa kwani kinaonyesha anatambua umuhimu wa wazazi si tu wakiwa hai lakini pia baada ya kufariki dunia.
“Sitasahau wema na utu walioonyesha wananchi wa Bukombe kutunza kaburi la baba yangu kwa miaka 25,” alisema Spika Ndugai huku akimtaka Mkuu wa Wilaya, Mbunge na Mkurugenzi wa Halmashauri kusimamia ujenzi wa zahanati kama walivyooomba wazee wa kijiji hicho.
Ufukuaji wa mabaki hayo ulifanyika baada ya kupata idhini ya mahakama.
Chanzo: Mwananchi

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KABURI LA BABA MZAZI WA SPIKA NDUGAI LAFUKULIWA NA MABAKI KUHAMISHWA
KABURI LA BABA MZAZI WA SPIKA NDUGAI LAFUKULIWA NA MABAKI KUHAMISHWA
https://2.bp.blogspot.com/-gpyV7bAfqHY/WUZANhqWVZI/AAAAAAAAcW0/buLxwosXg1wokMtCG4YHvovS6NjajpzmQCLcBGAs/s1600/x7-4-640x375.jpg.pagespeed.ic.4d3hENpPdT.webp
https://2.bp.blogspot.com/-gpyV7bAfqHY/WUZANhqWVZI/AAAAAAAAcW0/buLxwosXg1wokMtCG4YHvovS6NjajpzmQCLcBGAs/s72-c/x7-4-640x375.jpg.pagespeed.ic.4d3hENpPdT.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/kaburi-la-baba-mzazi-wa-spika-ndugai.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/kaburi-la-baba-mzazi-wa-spika-ndugai.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy