KUTOA MBEGU ZA KIUME ANGALAU MARA 21 KWA MWEZI HUPUNGUZA HATARI YA KUPATA KANSA YA TEZI DUME

SHARE:

Tendo la mwanaume kumwaga mbegu za kiume lina faida kubwa sana na ya kushangaza Kwa mwanaume unayehofia kuja kupata saratani ya tezi ...

Tendo la mwanaume kumwaga mbegu za kiume lina faida kubwa sana na ya kushangaza

Kwa mwanaume unayehofia kuja kupata saratani ya tezi dume, kuna hatua angalau moja rahisi unayoweza kuichukua kukukinga dhidi ya hatari hii, na  urahisi wake ni kutokana na kujiondolea hatari ya kupata ugonjwa mkubwa kiasi hiki ukiwa chumbani kwako tu.
Tafiti nyingi zimehusisha utoaji wa mara kwa mara wa mbegu za kiume (manii) — kwa kufanya mapenzi, kupiga punyeto au ukiwa usingizini — na kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari za kupata saratani ya tezi dume.

Jambo hili linaweza kuleta tofauti kiasi gani?

Kwa mujibu wa tafiti iliyochapishwa mwaka 2016 kwenye jarida la European Urology, tofauti ya kufanya na kutofanya hivi ni kubwa sana.
Wanaume 32,000 walifanyiwa utafiti kuanzia mwaka 1992 mpaka mwaka 2010 na matokeo waliyoyapata ni kwamba wanaume waliripoti kumwaga mbegu za kiume angalau mara 21 kwa mwezi walipokuwa na umri wa miaka ya 20 (20’s) maishani mwao walikuwa na asilimia 19 zaidi ya kutokutwa na saratani ya tezi dume ikilinganishwa na wale waliokuwa wakimwaga mara saba tu kwa mwezi mzima au chini ya hapo.

Kumwaga mbegu za kiume mara kwa mara ukiwa kati ya miaka ya 40 (40’s) pia inakupunguzia hatari ya kupata saratani ya tezi dume kwa asilimia 22, utafiti huo umeonesha.

“Ingawa matokeo ya utafiti wetu inabidi yathibitishwe na tafiti zinazochambua utendaji kazi wa kibaiolojia, bado matokeo haya yanasema kuwa kutoa mbegu za kiume na kufanya ngono salama katika ujana wako wote yawezekana ikawa ni mbinu yenye manufaa makubwa kwa mwanaume katika kupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume,” amesema Jennifer Rider, kiongozi wa utafiti huo katika mkutano na waandishi wa habari.
Hakuna idadi maalumu kwa mwezi ambayo mwanaume anatakiwa anamwaga mbegu ili kupunguza hatari hiyo. Kilichobainishwa kutokana na utafiti huu ni kwamba huwa inategemea sana na mahusiano ya kingono kati ya wapenzi ambapo hatari ya kupata saratani hii inapungua sana endapo mwanaume anapata fursa ya kutoa mbegu za kiume mara nyingi zaidi.
Hii si mara ya kwanza kwa watafiti kuendesha utafiti kubaini ni kwa jinsi gani kutoa mbegu za kiume kuna uhusiano na kupunguza hatari za kupata saratani ya tezi dume. Mwaka 2003 timu ya watafiti wa nchini Australia walilinganisha idadi ya mwanaume kumwaga mbegu za kiume kwenye utafiti uliohusisha wanaume 2,300 — ambao nusu yao walibainika kuwa na saratani ya tezi dume. Matokeo yalionesha kuwa wale waliotoa mbegu za kiume mara tano hadi saba kwa wiki walipunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume kwa asilimia 36 wakilinganishwa na wale waliomwaga mara mbili au pungufu ya hapo kwa wiki.

Ingawa tafiti hizi zimekuwa zikileta matokeo yanayofanana, watafiti bado hajapata sababu maalumu ya kwa nini kumwaga mbegu za kiume mara kwa mara kunapunguza kwa kiasi kikubwa hatari za mwanaume kupata saratani hii.

Jennifer Rider aliliambia Shirika la habari la Reuters kuwa timu yake ilikuja na dhana moja inayoelezea uhusiano huo: kwamba “Utoaji wa mbegu za kiume mara kwa mara, kwa kiasi fulani, ni kielelezo cha afya bora kwa mwanaume kwa sababu wanaume waliobainika kumwaga mbegu mara chache zaidi kwenye utafiti wao — ambao hawakumwaga kabisa au walimwaga chini ya mara tatu kwa mwezi mzima — walikuwa na uwezekano mkubwa sana wa kukutwa na magonjwa mengine na pia walikufa mapema kutokana na sababu mbalimbali zaidi ya saratani ya tezi dume. Pamoja na matokeo haya, tafiti zaidi zinatakiwa kufanyika ili kuelezea uhusiano wa kibaiolojia unaohusika kupunguza hatari hii.”

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KUTOA MBEGU ZA KIUME ANGALAU MARA 21 KWA MWEZI HUPUNGUZA HATARI YA KUPATA KANSA YA TEZI DUME
KUTOA MBEGU ZA KIUME ANGALAU MARA 21 KWA MWEZI HUPUNGUZA HATARI YA KUPATA KANSA YA TEZI DUME
https://1.bp.blogspot.com/-tHs7ORtnivw/WUaekjcyKRI/AAAAAAAAcXw/zLdMyeElsAkwD_P1KnLuAvFKwm9iMnfFACLcBGAs/s1600/xcouple-in-bed-750x375.jpg.pagespeed.ic.rujWPB923Y.webp
https://1.bp.blogspot.com/-tHs7ORtnivw/WUaekjcyKRI/AAAAAAAAcXw/zLdMyeElsAkwD_P1KnLuAvFKwm9iMnfFACLcBGAs/s72-c/xcouple-in-bed-750x375.jpg.pagespeed.ic.rujWPB923Y.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/kutoa-mbegu-za-kiume-angalau-mara-21.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/kutoa-mbegu-za-kiume-angalau-mara-21.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy