MAKALA: JINSI YA KUTAMBUA TAIRI YA GARI ILITENGENEZWA LINI NA MUDA WA MATUMIZI

SHARE:

Watu wengi hupata wakati mgumu wanapokwenda kununua tairi au matairi kwa ajili ya gari au magari yake kwa sababu hajui ni lini tairi lile...

Watu wengi hupata wakati mgumu wanapokwenda kununua tairi au matairi kwa ajili ya gari au magari yake kwa sababu hajui ni lini tairi lile lilitengenezwa. Watu wengi huangalia kama tairi ni chakavu (kipara) au la ili kuweza kuamua kama wanunue au wasinunue.
Wengine wakienda kununua tairi, kwa vile tu wanaona tairi ni mpya basi wanajua itafaa kutumika kwenye gari lake bila kujua anahatarisha maisha yake, kwani tairi inaweza ikawa inaonekana mpya lakini kiuhalisia ilitengenezwa miaka mingi nyuma, na hivyo kuwa imeisha muda wake wa matumizi.
Kabla hujanunua tairi au matairi kwa ajili ya matumizi ya gari lako, hakikisha unazichunguza kwa makini tarakimu nne ambazo huandikwa pembeni mwa tairi hiyo.
Matairi ya gari huandikwa muda yalipotengenezwa. Hivyo ni muhimu kuzingatia hili ili kuepuka kupata ajali kwa matairi gari lako kupasuka licha ya kuwa ni mapya.
Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (1516)  wa namba nne zilizokaa pamoja. Katika namba hizo nne, namba mbili za mwanzo zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka, na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipotengenezwa. Kwa mfano tairi ikiwa na na namba 1516, inamaanisha kuwa ilitengenezwa wiki ya 15 ya mwaka 2016, au 2309 inamaanisha ni wiki ya 23 ya mwaka 2009.
Image result for when tire was made
Kabla ya mwaka 2000, tairi za magari zilikuwa zikiandikwa tarakimu tatu (168) kutambua muda tairi iliyotengenezwa. Lakini walibadilisha na kuweka tarakimu nne kwa sababu tarakimu tatu zilikuwa zinasumbua kujua mwaka halisi. Mfano 168 ni wiki ya 16, lakini unashindwa kujua ni mwaka 1998, au 1988 au 1968. Hivyo kuwekwa tarakimu nne (2001) inaondoa utata kuwa ni wiki ya 20 mwaka 2001.
Image result for when tire was made
Aidha, unashauriwa usinunue tairi lililokaa muda mrefu sana dukani kwani linakuwa si salama kwa matumizi yako. Hakuna muda maalum ambao unaweza kutajwa kuwa ndio mwisho wa matumizi ya tairi tangu siku ilipotengenezwa kwa sababu kuisha muda wa matumizi ya tairi kunategemea na sababu nyingi.
Miongoni mwa sababu zinazochangia kuisha kwa tairi ni namna unavyotumia tairi zako, barabara unayopitisha gari lako, sehemu unapohifadhi, hali ya hewa ya nchi uliyopo. Tairi za gari kwenye nchi zenye joto huharibika mapema zaidi kutokana na jua kuharibu mpira. Hapa ni sawa na ruber band ukiiweka kwenye jua kwa muda mrefu, ukija kuivuta utaona inaanza kukatika.
How to Read Your Tire
Katika makala ijayo tutazungumza jinsi ya kutambua uwezo wa spidi ya tairi. Kila tairi inauwezo wake wake wa spidi, hii inamaana ukiendesha gari zaidi ya spidi ya tairi, utakuwa kwenye hatari kubwa. Endelea kuwa nasi.
 SWAHILI TIMES

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAKALA: JINSI YA KUTAMBUA TAIRI YA GARI ILITENGENEZWA LINI NA MUDA WA MATUMIZI
MAKALA: JINSI YA KUTAMBUA TAIRI YA GARI ILITENGENEZWA LINI NA MUDA WA MATUMIZI
https://4.bp.blogspot.com/-12TPd6tY1Xg/WTT-yJQpCDI/AAAAAAAAcNY/yGgE-TU4Fdkbu34T467Z2nenyCLdE8X6ACLcB/s320/x1200px-BF_Goodrich_Off_Road_Tires_Crandon_2012-750x375.jpg.pagespeed.ic.ezxx6jXhNP.webp
https://4.bp.blogspot.com/-12TPd6tY1Xg/WTT-yJQpCDI/AAAAAAAAcNY/yGgE-TU4Fdkbu34T467Z2nenyCLdE8X6ACLcB/s72-c/x1200px-BF_Goodrich_Off_Road_Tires_Crandon_2012-750x375.jpg.pagespeed.ic.ezxx6jXhNP.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/makala-jinsi-ya-kutambua-tairi-ya-gari.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/makala-jinsi-ya-kutambua-tairi-ya-gari.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy