MAKAMU WA RAIS AAGIZA VIONGOZI WANAOIKWAMISHA SERIKALI WAKAMATWE

SHARE:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameagiza vyombo vya dola nchini kuwakamata bila kuwaonea huruma...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameagiza vyombo vya dola nchini kuwakamata bila kuwaonea huruma viongozi watakaobainika kujihusisha au kuhujumu kazi ya kupambana na uvuvi haramu nchini.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa agizo hilo wakati akishiriki katika zoezi la uchomaji wa zana haramu za uvuvi 5,662 kwenye eneo la Buhongwa wilayani Nyamagana mkoani Mwanza zilizokamatwa katika Ziwa Victoria.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi kushiriki katika shughuli za uvuvi haramu hivyo inabidi wachukuliwe hatua ili kukomesha kabisa tatizo la uvuvi haramu katika Ziwa Victoria na maeneo mengine nchini.
Ameeleza kuwa uvuvi haramu katika Ziwa Victoria umekuwa ni tatizo sugu na hali ambayo imesababisha kupungua kwa samaki na mapato kwa Serikali ambayo ni muhimu kwa ajili ya shughuli maendeleo.
Amesema licha ya uvuvi haramu kupunguza mapato ya Serikali kutoka kwenye viwanda hali ya ajira nayo sio nzuri zilizokuwa zinatoka kwenye viwanda ambazo zimepungua kwa asilimi 49.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amepongeza kazi kubwa iliyofanyika ya ukamataji wa zana haramu za uvuvi katika Ziwa Victoria na amewahakikishia viongozi wa mkoa wa Mwanza kuwa Serikali ipo pamoja nao katika kazi hiyo.
“Serikali yenu itaendelea kushirikiana nayi katika kuhakikisha kuwa rasilimali za uvuvi katika Ziwa Victoria zinaendelea kuwepo kwa kuendelea kutoa fedha na vitendea kazi ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi kwa lengo la kuhifadhi ziwa Victoria Amesisitiza Makamu wa Rais.
Kwa upande wake, Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela amesema oparesheni za uvuvi haramu katika Ziwa Victoria zitaendelea kuimarishwa ipasavyo mkoani Mwanza mpaka vitendo hivyo vikomeshwa.
Amesema mkoa wa Mwanza ulikuwa na viwanda Sita vya kuchakata samaki lakini kutokana na kupungua kwa samaki katika Ziwa Victoria ni viwanda Vinne tu mpaka sasa ndio vinafanya kazi hali ambayo imepunguza kwa kiasi kikubwa mapato kwa Serikali na ajira kwa vijana mkoani huo.
Mkuu huyo wa Mkoa wa Mwanza John Mongela ameeleza kuwa kutokana na viwanda hivyo kusitisha shughuli za uzalishaji zaidi ya watu mamia ya watu wamekosa ajira.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye shughuli za mazingira ambapo nyavu zilizotumika kwenye uvuvi haramu zimeteketezwa katika dampo la Buhongwa, wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kuchoma nyavu za uvuvi haramu kwenye dampo la Buhongwa, wilaya ya  Nyamagana mkoani Mwanza. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAKAMU WA RAIS AAGIZA VIONGOZI WANAOIKWAMISHA SERIKALI WAKAMATWE
MAKAMU WA RAIS AAGIZA VIONGOZI WANAOIKWAMISHA SERIKALI WAKAMATWE
https://1.bp.blogspot.com/-T4uvyEBABjs/WTljLKEaM6I/AAAAAAAAcRo/CydrxejGDQcnpWLGGJrlcQdgiKTrHqC9gCLcB/s1600/x7-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.g_TcXPO46X.webp
https://1.bp.blogspot.com/-T4uvyEBABjs/WTljLKEaM6I/AAAAAAAAcRo/CydrxejGDQcnpWLGGJrlcQdgiKTrHqC9gCLcB/s72-c/x7-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.g_TcXPO46X.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/makamu-wa-rais-aagiza-viongozi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/makamu-wa-rais-aagiza-viongozi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy