MASHABIKI WALALAMIKA KUWA MCHUMBA WA CRISTIANO RONALDO ANAWATEGA

Georgina Rodriguez, ni mchumba wa staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amekuwa na kawaida ya kutupia picha zenye ‘utata’ mitandaoni lakini hii ya sasa inaonekana imewagusa wengi.
Georgina ambaye inadaiwa kuwa ni mjamzito wa watoto pacha amekuwa akitazamwa na watu wengi kutokana na uhusiano wake na nyota huyo wa Real Madrid.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ametupia picha akiogelea huku asilimia kubwa ya mwili wake kwa nyuma ikionekana na sababisha maoni kuwa mengi kuwa eti anawatega.

Picha hiyo iliyoambatana video, imepata wafuasi walioibonyeza ‘likes’ zaidi ya 130,000 ambapo alikuwa amevaa nguo ya ndani tu.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post